MDA WA KUTOKA RESULT SLIP NA CHETI CHA FORM FOUR IV

By // No comments:
Imezoeleka na kufahamika kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka necta huwa lazima wawajibike kutoa cheti cha matokeo(Result slip) ambacho hicho kitamsaidia mtahiniwa kwenda kuomba kujiunga na shule zozote binafsi au chu ikiwa matokeo yake hayaridhishi kwa kuchaguliwa kwenda A- LEVEL  au pia maono na matamanio ya mtahiniwa aliyefaulu kuitaji kujiunga na chuo kingine mbali na shule atakayochaguliwa na NECTA ..Hivyo kama mwanafunzi inabidi ajue anahitaji  kitu gani zaidi cha kufanya kabla ya shule kupangwa ..

MDA WA KUTOKA RESULT SLIP
Huu ni mda ambao necta huwa wanapanga kutoa cheti hicho cha matokeo ambapo shughuli zote za kuandaa huwa zinakamilika mapema zaidi
MARA NYINGI
Results slip zinatoka wiki moja hadi mbili baada ya matokeo.


MDA WA KUTOKA CHETI CHA KIDATO CHA NNE
Pia necta huwa wana mda wao ambao wanautumia kuandaa vyeti hivyo vya kidato cha nne  na baadaye kuvisambaza au kuwapa wawakilishi wa shule husika kwa ajili ya kuwapa wanafunzi kwa kumbukumbu na matumizi ya Kiacademically yan kielimu kwa mhusiika
MARA NYINGI
Cheti kinatoka mwaka mmoja baada ya  Matokeo kutangazwa
Hivyo kama yametangazwa mwezi wa Pili basi kitatoka mwezi wa pili mwakani.

Karibu tena SOCIAL HALL.

ILIBORU,KIBAHA,TABORA B&G,KILAKALA NA MZUMBE ZASHIKA NAFASI HIZI MBAYA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

By // No comments:
Shule za sekondari za vipaji maalum Tanzania zashika nafasi mbaya katika matokeo haya ya kidato cha nne mwaka 2015 .Ambapo shule hizi ndizo zilizozoeleka kwa kuongoza katika matokeo ya kidayo cha nne na sita ..
Na hivy nafasi hizo za mwanzo kushikwa na shule binafsi na ngeni kwa kusikika kuwa nazo zipo katika kundi la ahule bora zinazoweza shika nafasi kubwa katika matokeo ya kidato cha nne
SOCIAL HALL  inakuleyea baadhi ya nafasi zilizoshika shule hizo kubwa na mara nyingi hutambulika kama za vipaji maalum...


HIZI NDIO NAFASI ZILIZOSHIKA SHULE HIZOKUBWA TANZANIA


Ilboru- 53
Kibaha- 69
Mzumbe-71
Tabora boys-124
Kilakala-94
Tabora girls-123
Msalato-148

Pia tunatoa hongera kwa wale walioongeza juhudi katika kufundisha na hatimaye kuiwezesha shule yao kushika nafasi nzuri katika matokeo haya ya kidato cha nne.

10 BORA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI,SHULE ZILIZOFANYA VIZURI ,NA SHULE ZILIZOSHIKA MKIA KATIKA MATOKEO CSEE2015

By // No comments:

Baraza la Mitihani (NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.

Jumla watahiniwa 272,947 sawa na 67.53% ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2015 wamefaulu tofauti na mwaka 2014 ambapo ufaulu ulikuwa 68.33%.

Upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 ya waliofanya mtihani, wasichana wakiwa 11,125 (64.84) na wavulana wakiwa 124,871 (71.09).

Upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwa asilimia 1.85 ikilinganishwa na mwaka 2014.
Kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, watahiniwa 31,951 sawa na asilimia 64.80 wamefaulu ikilinganishwa na watahiniwa 29,162 (61.12 waliofaulu mwaka 2014.

Kwa upande wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa wa shule, amesema waliopata daraja la Kwanza ni 9,816 sawa na asilimia 2.77, daraja la pili ni 31,986 sawa na asilimia 9.01, daraja la tatu ni 48,127 sawa na asilimia 13.56.

Waliopata daraja la nne ni 240,996 sawa na asilimia 67.91 na waliopata daraja la sifuri (waliofeli) ni 113,489.
Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni 94,941 sawa na asilimia 24.73 wavulana wakiwa 56,603 sawa na 29.99 na wavulana 38,338 sawa na asilimia 19.63

10 BORA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015.



1.Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
2.Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam
3.Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani
4.Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya
5.Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro
6.Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani
7.Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
8.Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa
9.Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
10.Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys


HIZI NDIO SHULE KUMI BORA ZILIZOONGOZA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015


1.Kaizirege mkoa wa Kagera
2.Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
3.Marian Boys mkoa wa Pwani
4.St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
5.Abbey mkoa wa Mtwara
6.Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
7.Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
8.Marian Girls mkoa wa Pwani
9.Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

SHULE 10  ZILIZOSHIKA MKIA KATIKA MATOKEO  YA KIDATO CHA NNE 2015


Manolo mkoa wa Tanga
Chokocho mkoa wa Pemba
Kwalugulu mkoa wa Tanga
Relini mkoa wa Dar es salaam
Mashindei mkoa wa Tanga
Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
Vudee mkoa wa Kilimanjaro
Mnazi mkoa wa Tanga
Ruhembe mkoa wa Morogoro
Magoma mkoa wa Tanga.


MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

By // No comments:

 Necta wamemaliza shughuli zote za matokeo ya kidato cha nne na haya ndio matokeo halisi ya kidato cha nne mwaka 2015..

Social hall inawapongeza wote waliofanikiwa kupass katika mitihani yao na pia kuwatakia heti ya ma
pambano kwa wale ambao kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kufaulu mitihan yao
Matokeo ni haya apa chini ya
herufi kubwa....Asante
SOCIAL HALL


INGIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015/2016

HOW LAUGHTER HELP YOUR HEALTH

By // No comments:
LAUGHING
SOCIAL HALL
Laughter is a powerful (and free!) medicine that you’re not taking enough of. Sharing a genuine laugh with a friend or co-worker can be enough to brighten our day, no matter how down-and-out we feel. Laughter is a stress-reducer, immunity-booster, heart-helper, and confidence-builder. Read on to learn more about the surprising benefits of humor.

Are you stressed, sad and depressed? Do you want to bring more laughter and joy to your life? Here are  benefits that Laughter offers for your health and wellness:


1. Good Mood and More Laughter:Whether it is your personal life, business life or social life everything you do depends upon your mood state. If your mood is good, you can do things much better. Laughter Yoga helps to change the mood within minutes by releasing certain chemicals from your brain cells called endorphins. You will remain cheerful and in a good mood throughout

1. Good Mood and More Laughter:Whether it is your personal life, business life or social life everything you do depends upon your mood state. If your mood is good, you can do things much better. Laughter Yoga helps to change the mood within minutes by releasing certain chemicals from your brain cells called endorphins. You will remain cheerful and in a good mood throughout the day and will laugh more than you normally do.

2. Healthy Exercise to Beat Stress: Laughter is like an aerobic exercise (cardio workout) which brings more oxygen to the body and brain which makes one feel more healthy and energetic. Laughter Yoga is a single exercise routine which reduces physical, mental and emotional stress simultaneously.

3. Health Benefits: You can’t enjoy life if you are sick. Laughter Yoga strengthens the immune system which not only prevents you from falling sick, but also helps to heal a variety of illnesses like hypertension, heart disease, diabetes, depression, arthritis, allergies, asthma, bronchitis, backache, fibromyalgia, migraine headaches, menstrual disorders, cancer and many others.

4. Quality of Life: Quality of life depends upon quality of good friends we have with whom we have a caring and sharing relationship. Laughter is a positive energy which helps to connect with people quickly and improves relationships. If you laugh more, you will attract many friends.

5. Positive Attitude in Challenging Times : Everyone can laugh when the time is good, but how does one laugh when faced with challenges? Laughter helps to create a positive mental state to deal with negative situations and negative people. It gives hope and optimism to cope with difficult times.

Social Benefits


Laughter is contagious, so if you bring more laughter into your life, you can most likely help others around you laugh more. By elevating the mood of those around you, you can diminish their stress levels, and possibly improve the quality of social interaction you experience with them, reducing your stress level even more!
The more you laugh with others, the more likely you are to be remembered for the positive energy and feelings you bring. Even intimate relationships improve with laughter, leading to more happiness and joyful relations.

Internal Workout


Have you had a good belly laugh lately? A good belly laugh exercises the diaphragm, contracts the abs and even works out the shoulders, leaving muscles more relaxed afterward. It even provides a good workout for the heart. Laughing 100 times is the equivalent to 10 minutes on the rowing machine or 15 minutes on an exercise bike.

Improves Your Breathing


Laugh more and more, because laughter empties your lungs of more air than it takes in resulting in a cleansing effect – similar to deep breathing. This is especially helpful for people who are suffering from respiratory ailments, such as asthma.

Helps You Lose Weight


Laughter is a very good physical exercise too. Burning off calories by laughing might not sound as if it has much use, but a hearty chuckle raises the heart rate and speeds up the metabolism. If you’re dieting, think about adding laughter to your exercise regime. A good sitcom might easily keep you laughing for 20 minutes or more.

Protects the Heart


People who laugh a lot on a regular basis have lower blood pressure than the average person. When people have a good laugh, the blood pressure increases at first, but then it decreases to levels below normal.
Your heart is a muscle and, like any muscle in your body, it gets stronger and functions better when exercised. Regular laughter is like getting a gym membership for your heart. Laughter has been found to benefit the way blood flows around the body, reducing the likelihood of heart disease. The research said that 15 minutes of laughter a day is as important for your heart as 30 minutes of exercise 3 times a week.

RATIBA KUU YA MTIHANI FORM SIX 2016 KUTOKA NECTA

By // No comments:
Necta watoa ratiba ya mtihani  wa mwisho wa kidato cha sita utakao fanyika mwezi wa Tano (5) mwaka huu 2016 kuwa wa kwanza kujionea ratiba hiyo.hapa chini kwnye maandisha makubwa blue.


RATIBA YA MTIHANI KIDATO CHA SITA MAY 2016
Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments