Kadri siku zinavyosogea watanzania nao wanazidi kuwa wabunifu hasa kulingana na ukuaji wa Technolojia.
Kuna mambo mengi ambayo watanzania huamua kujitoa muhanga kulingana na Imani zao na jinsi wanavyoamini kile wanachokiona na kukifikili kuwa kinafaa kwa jamii hasa kwa kuzingatia wanapnda kuwafurahisha watanzania wenzao..
Leo SOCIAL HALL imekuletea Website iliyobuniwa na watanzania ili kuboresha kufurahisha na kuwavutia wanajamii kwa ujumla kwa upande wa Sinema za lugha tofauti na kwetu
Website hii itakupa wew uwezo wa kudownload muvi kali uipendayo ambayo itakuwa imetafsiriwa hivyo kukupa wew muangaliaji burudani na uelewa kwa kile ulichokuw ukielewi...Ingia hapo chini kupelekwa kwenye website hiyo ila pia SOCIAL HALL inawapa pongezi woote waliobuni kitu hichi.
INGIA HAPA KUDOWNLOAD MOVIE ZILIZOTAFSIRIWA

0 comments:
Post a Comment