VPL:KIKOSI NA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA NA SIMBA KWA MAANGAMIZI YA MSIMU UJAO 2017/2018

By // No comments:











*ORODHA KAMILI YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA SIMBA SC MPAKA SASA*

A.WACHEZAJI WA NDANI

1. *JAMAL MWAMBELEKO*

Beki wa kushoto kutoka Mbao fc ya Mwanza, alisaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa miaka miwili, mkataba wake alisaini 05 June 2017 ataitumikia Simba Sc hadi 05 June 2019.

2. *YUSUPH MPILIPILI*

Beki namba mbili, aliingia mkataba na Simba Sc tarehe 08 June 2017. Mkataba wake utafikia tamati 08 June 2019.

3. *SHOMARI KAPOMBE* Beki namba mbili amesajiliwa na Simba Sc akitokea Azam fc. Ameingia mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia 12 June 2017 hadi 12 June 2019.

4. *JOHN BOCCO*
Mshambuliaji hatari aliyekuwa tegemeo kunako klabu ya Azam fc, aliichezea timu hiyo kwa takribani miaka 9 hivi. Ameingia mkataba wa miaka miwili na Simba Sc 13 June 2017 hadi 13 June 2019.

5. *EMANUEL ELIAS MSEJA*
Huyu ni golikipa aliyeichezea timu ya Mbao fc mechi kadhaa hasa raundi ya kwanza katika mechi za VPL msimu wa 2016/2017. Amepewa mkataba wa miaka miwili na klabu ya Simba Sc 14 June 2017 hadi 14 June  2019.

6. *ALLY SHOMARI*
Beki kutoka Mtibwa Sugar anayemudu kucheza namba nyingi akiwa dimbani. Amekula mkataba wa miaka miwili, 15 June 2017 hadi 15 June 2019.

7. *SALIM MBONDE*
Beki mkongwe akitokea Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, amesaini mkataba wa miaka miwili, 09 July 2017 hadi July 2019.

*KUMBUKA*  Mikataba waliyosaini ni ya awali na kama ni mkataba official basi kilichopo kule ndani(makubaliano) ni kati ya timu na mchezaji ndio siri yao.

*ZOEZI LA USAJILI BADO LINAENDELEA*




B. WACHEZAJI WA KIGENI WALOSAJILIWA MPAKA SASA.

1. *EMANUEL OKWI*
Kiungo mshambuliaji kutoka klabu ya Sport Club Villa ya Uganda, alisaini mkataba na Simba 25 June 2017.



*WACHEZAJI WALIOITUMIA SIMBA MSIMU ULIOPITA WALIOONGEZEWA MIKATABA MIPYA*

1. *MKUDE*
Miaka miwili.

2. *JAMES KOTEI*
Miaka miwili



*ORODHA YA WACHEZAJI WENYE UHAKIKA WA KUITUMIA SIMBA SC MSIMU UJAO*

1. Emanuel Mseja
2. Kapombe
3. Zimbwe Jr
4. Salim Mbonde
5. Kotei
6. Mkude
7. Kichuya
8. Mzamiru
9. Bocco
10. Mavugo
11. Okwi

12. Ndemla
13. Moses Kitandu
14. Mo
15. Ally Shomari
16. Yusuph Mpilipili
17. Mwambeleko

*USAJILI BADO UNAENDELEA*


_WAFUATAO WANATARAJIWA KUSAINI SIMBA SC_

1. Manula
2. Niyonzima


*WAFUATAO HAWATAITUMIKIA SIMBA MSIMU UJAO*

1. Ajibu-kasajiliwa Yanga.

2. Pastory Athanas-kasajiliwa Singida Utd.


*WAFUATAO WANAWEZA KUACHWA KUITUMIKIA SIMBA SC*

1. Denis Richard
2. Mnyate
3. Blagnon
4. Kazimoto
5. Agyey
6. Lufunga
7. Hamad Juma
8. Manyika Jr
9. Bukungu
10. Mwanjali
11. Haji Ugando
12. Costa

*Juuko*  Bado haijaeleweka kama atabaki Simba Sc au ataenda kucheza soka la kulipwa nchini Serbia.

*MUHIMU*  _Usajili bado unaendelea na mchezaji yeyote a aweza kuongezwa awe wa nje au ndani ya nchi. Timu ipo kwenye mazoezi Afrika Kusini, kocha akiona kuna mchezaji anajitahidi na kujituma kwenye mazoezj anaweza kumbakisha kikosini_


*WACHEZAJI WA MSIMU UJAO WATATAMBULISHWA RASMI 08 AGUST 2017 KATIKA TAMASHA LA SIMBA DAY*

cc #CLAUD

NEWZ: SHULE BORA 10 ZILIZOONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2017

By // No comments:
Kwa Mujibu wa takwimu

Jumla ya watahiniwa 75, 116, walifanya mtihani huo Mei mwaka huu.
  • Kwa upande wa watahiniwa wavulana, waliofaulu walikuwa ni 42,975 (sawa na asilimia 95.34) kati ya 46,385.
  • Taarifa iliyotolea inaonyesha kuwa watahiniwa 58,556 (asilimia 93.72) walipata daraja la kwanza hadi la tatu. Kati ya hao, wasichana ni 22, 909 na wavulana ni 35,64
KWA ZANZIBAR
Zanzibar
Matokeo ya kidato cha sita nchini yametolewa leo Jumamosi, Julai 15, yameonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu ambapo kati ya wasichana 28,731 (38 asilimia) waliofanya mtihani, waliofaulu ni ni 27,577 (sawa na asilimia 97.21).

Jumla ya watahiniwa 75, 116, walifanya mtihani huo Mei mwaka huu.

Kwa upande wa watahiniwa wavulana, waliofaulu walikuwa ni 42,975 (sawa na asilimia 95.34) kati ya 46,385.

Taarifa iliyotolea inaonyesha kuwa watahiniwa 58,556 (asilimia 93.72) walipata daraja la kwanza hadi la tatu. Kati ya hao, wasichana ni 22, 909 na wavulana ni 35,647.

“Mchanganuo wa ufaulu katika madaraja unaonyesha kuwa watahiniwa walipata daraja la 1-11 umepanda kwa asilimia 0.59 kutoka asilimia 93.13 mwaka 2016 hadi 93.72 mwaka huu,” imesema taarifa hiyo na kuongeza;

“Pia, ufaulu katika madaraja kwa upande wa wasichana umepanda ikilinganishwa na wavulana. Ubora wa ufaulu kwa wasichana ni asilimia 94.07 ikilinganishwa na asilimia 93.49 ya wavulana.”

UFAULU WA MASOMO KWA WANAFUNZI 
Ufaulu wa masomo
Kadhalika taarifa hiyo imeonyesha kuwa ufaulu kwa watanikiwa wa shule kwa upande wa masomo, ya Sayansi, Biashara, Lugha na Sanaa, haukuonyesha tofauti kubwa ukilinganisha na mwaka jana.

Hata hivyo, ufaulu katika somo la General Studies umeshuka kwa asilimia 7.54 kutoka asilimia 71. 24 hadi 63.70
IFUATAYO NI LIST YA SHULE BORA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA SIT

nectaRESULT: YATAZAME MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA MATOKEO YA UALIMU HAPA

By // No comments:

RAYVANNY WA WCB KAJA NA CHUMA ULETE | DOWNLOAD HAPA

By // No comments:











MC DULLA MAKABILAA YAKE MPYAA HII DEMU WAKO NAMBA NGAPI

By // No comments:

VANESSA MDEE FT MR. P( P Square) AUDIO MPYAA

By // No comments:










 DOWNLOAD HERE

HitMPYAA: DOWNLOAD MPYAA NYINGINE YA ASLAY-KOKO TU

By // No comments:












 DOWNLOAD HERE

NewHIT: DIAMOND PLATNUMZ- ENEKA DOWNLOAD HAPA

By // No comments:
Ipakue Hapa nyimbo nyingine kali kutoka kwa Diamond Platnumz- Eneka
             
 DOWLOAD HERE

MAGOLI YA USHINDI WALIOPATA MANCHESTER CITY DHIDI YA BARCELONA UEFA JANA

By // No comments:

HIZI NDIO BAADHI YA VIDEO MPYA KALI ZILIZOTOKA MWEZI WA 10/11

By // No comments:


Mwaka huu ndio mwaka ambao wasanii wetu wengi wameshuka na nyimbo nnyingi kali na nzuri wakiambatanisha na video zao kali na nzuri sana cha kiwango cha juu,.
 SOCIAL HALL inawaletea video mpyaa na kali zilizotolewa na wasanii wakongwe na wapya hivi kalibuni ukiachilia mbali video ambazo social hall tayar imeshaziweka,
  Unaweza kujionea  video hizo kwa uzuri zaidi hapo chini sasa

ABBY SKILLZ FT ALIKIBA




QBOY FT RAYVANNY




TEKNOMILES

 

SNURA

 
Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments