MDA WA KUTOKA RESULT SLIP NA CHETI CHA FORM FOUR IV

By
Advertisement
Imezoeleka na kufahamika kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka necta huwa lazima wawajibike kutoa cheti cha matokeo(Result slip) ambacho hicho kitamsaidia mtahiniwa kwenda kuomba kujiunga na shule zozote binafsi au chu ikiwa matokeo yake hayaridhishi kwa kuchaguliwa kwenda A- LEVEL  au pia maono na matamanio ya mtahiniwa aliyefaulu kuitaji kujiunga na chuo kingine mbali na shule atakayochaguliwa na NECTA ..Hivyo kama mwanafunzi inabidi ajue anahitaji  kitu gani zaidi cha kufanya kabla ya shule kupangwa ..

MDA WA KUTOKA RESULT SLIP
Huu ni mda ambao necta huwa wanapanga kutoa cheti hicho cha matokeo ambapo shughuli zote za kuandaa huwa zinakamilika mapema zaidi
MARA NYINGI
Results slip zinatoka wiki moja hadi mbili baada ya matokeo.


MDA WA KUTOKA CHETI CHA KIDATO CHA NNE
Pia necta huwa wana mda wao ambao wanautumia kuandaa vyeti hivyo vya kidato cha nne  na baadaye kuvisambaza au kuwapa wawakilishi wa shule husika kwa ajili ya kuwapa wanafunzi kwa kumbukumbu na matumizi ya Kiacademically yan kielimu kwa mhusiika
MARA NYINGI
Cheti kinatoka mwaka mmoja baada ya  Matokeo kutangazwa
Hivyo kama yametangazwa mwezi wa Pili basi kitatoka mwezi wa pili mwakani.

Karibu tena SOCIAL HALL.

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments