NECTA WATOA UWEZO KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE KUONA NA KUPATA MATOKEO YAO KUPITIA SMS
Tangazo kuu kutoka kwa NECTA sasa kwa mwanafunzi aliyemaliza form 4 mwaka 2015 unaweza kupata matokeo yako ukiwa upo nyumbani kwa kutumia simu yako ya mkononi bila ya kuhangaika na maswala ya internet ili kuona majibu ya mtihani wako..Ni rahisi na fupi sana futa njia zituatazo ili uweze kujionea matokeo yako pindi yatakapotoka.....
Njia ni kama ifuatavyo
Tuma kwenda namba 15311
Jinsi ya kutuma ujumbe:
- Kupata Matokeo:
Andika:
matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year
Mfano :
matokeo*S1665*0041*k4*2014
matokeo*M0110*0003*qt*2014
- Kupata Rank:
Andika: rank*centre number*exam type*exam year
Mfano : rank* S0101*k4*2014
Gharama kwa SMS ni Tshs 200/=
Huduma hii ni kwa watumiaji wa mitandao ya Tigo,Vodacom na Zantel tu
0 comments:
Post a Comment