SASA DOWNLOAD APPS ZA KULIPIA PLAYSTORE BURE KWA KUFANYA HIVI

By
Advertisement
Android playstore inaatoa Apps nyingi sana Free ila pia kuna baadhi ya Apps nzuri huw inakuitaji kulipia ili uweze kuidownload..

Lakin leo SOCIAL HALL inakupa njia rahisi ya kudownload app yoyote ya kulipia playstore na wewe kuweza kudownload bila kulipia ni Rahisi sana fanya kama ifuatavyo;

(i) Kwanza kabisa hakikisha unainternet safi kabisa
(ii) Ingia sas google na Download App inayoitwa "BLACKSMART"
(iii) Install kisha fungua na hakiki taarifa zote muhimu zinazoitajika..
(iv) sas unaweza anza kutumia BLACKSMART hiyo kudownload apps yoyote ya kulipia kwenye PLAYSTORE free

Lakini labda mda wa kuisachi hiyo app huna basi usijar unaweza kuidownload hiyo app ya BLACKSMART apa chini palipoandikwa Download


DOWNLOAD BLACKSMART APP HAPA

SOCIAL HALL

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments