[VIDEO]..DOWNLOAD ANGALIA VIDEO YA ALIKIBA - AJE ILIYOMPA DILI LA SONY

By
Advertisement


DOWNLOAD VIDEO HAPA

SOCIAL HALL


















Alikiba sasa Amesaini mkataba na sony music ambao wanajishughulisha na kuwasimamia wanamziki wakubwa duniani..
Video hii mpya ya Alikiba ndio imeleta nafasi hii kwake hivy alikiba atakuwa chini ya Sony music kwa kazi zake zinazofuata
Lakini pia atakuwa akifanya kazi na wasanii wenzake ambao nao wapo chini ya SONY MUSIC
Sony music inawasimamia wasanii wakubwa wengi hivyo hii ndio nafasi kwa Alikiba kwani sas atakuwa yupo pamoja na wasanii wenzake wakubwa chini ya management Moja.
Sony music inawasimamia wasanii Kama DAVIDO,JOHN LEGENDS CHRIS BROWN na wengine weengi .



SOCIAL HALL inampa pongezi sana Alikiba kwa Nafasi hiyo aliyofikia

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments