Shilole A.k.a Shishi Baby ni miongoni mwa wasanii ambao wanatumia vizuri vipaji vyao ambavyo mungu amewajaalia na hili linathibitika baada ya ujiusishaji mwingi wa shilole katika kazi nyingi za kisanaa,Ambapo mara nyingi tumemuona shilole akiwa kama muigizaji napia kama mwanamziki na sehemu zote hizi akizitendea haki ipasavyoo..
Yite hayo ila shishi ameweletea tena Mashabiki wake ngoma mpya inayoitwa SAY MY NAME akiwa amemkaribisha Barnaba na kuifanya Nyimbo hiyo kuwa SHILOLE FT BARNABA..
Ila maswali mengi na mambo mengi yanayowachanganya watu ni baada ya Mashairi ya wisho huo kuleta washawasha kwa Baadhi wa mashabiki wa Upande wa pili mhm...Download kwenye Link ya hapo chini uyasikie mashairi hayo yaliyoleta washawasha kwa mashabiki wa upande wa pili
DOWNLOAD NYIMBO HAPA

0 comments:
Post a Comment