MABADILIKO YA TCU KWA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA CHUO MWAKA 2016/2017

By
Advertisement
 TCU WAMETANGAZA MABADILIKO YA TARATIBU,VIGEZO NA SIFA ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU MWAKA WA MASOMO 2016/2017 KWA WANAFUNZI WA FORM SIX

SOCIAL HALL


FORM SIX LAZIMA UWE NA TWO PRINCIPAL PASSES (YAANI D MBILI KATIKA COMBINATION YAKO) BADALA YA E MBILI KAMA ILIVYOKUWA AWALI

EQUIVALENT APPLICANTS (DIPLOMA) LAZIMA UWE NA GPA 3.5 KUENDELEA,AU WASTANI WA B KWENYE MASOMO YAKO KWA DIPLOMA YA ELIMU NA AFYA,AU UPPER SECOND CLASS FOR DIPLOMA

PRE-ENTRY COURSE ZOTE KWA WANAFUNZI WALIOKUWA HAWANA SIFA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU ZIMESIMAMISHWA

APPLICATION ZOTE ZIFANYWE KUPITIA TCU ONLY
KWA MAELEZO MENGINE JUU YA MABADILIKO HAYA YA TCU
   
     DOWNLOAD HAPA

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments