[VIDEO]..HII HAPA MPYA HARMONIZE - MATATIZO

By
Advertisement



DOWNLOAD VIDEO HAPA

Harmonize Msanii aliye chini ya WCB amekuletea shabiki yake nyimbo yake mpya inayoitwa MATATIZO ambayo kimsingi kwa mujibu wa Maneno kutoka kwa Harmonize ni kwamba huu wimbo ndio Maisha yake halisi aliyopitia mpaka Leo anaitwa harmonize..
Ni zu ya vijana sas kuusikiliza wimbo huu mpya wa harmonize na kujifunza kitu kutoka kwenye nyimbo
Kikubwa usikate tamaa kwa kila jambo unalotaka kulifanya kwani huwezi jua pengine utafanikiwa kesho inakuaje ssa unakata tamaa Leo..
Social hall

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments