Mtoto wa miaka mitatu kutoka south africa avunja record kwa kuwa dj mdogo kuliko wote africa mwenye uwezo wa kutumia vyema mashine za kupigia muziki.
Hiyo imeonekana baada ya mtoto huyo kwenda kuonyesha kipaji chake katika tamasha moja kubwa nchini humo lijulikanalo kama SAs Got Talent na hivyo kuwa mmoja wa dj mtoto africa..
0 comments:
Post a Comment