[VIDEO]..MASANJA MKANDAMIZAJI KWENYE SEND OFF YA MCHUMBA WAKE

By
Advertisement



Mchekesheshaji maarufu emmanuel mgaya jina la kisanii masanja mkandamizaji hivi karibuni alimvisha pete mke wake mtarajia katika kanisa kuu pale mjini lijulikanalo kama MITO YA BARAKA..
SOCIAL HALL
 
 
 Moja ya ahadi ambazo alitoa mchekeshaji huyo ni kwamba hatochukua mda sana mpaka kukamilisha swala zima la ndoa na hilo limethibitika baada ya comedian huyo kuonfurahia sherehe na mpenz wake ya kuagwa au kusindikiza mke *SENDOFF* Kama njia ya kujiandaa na maisha ya milele ya ndoa..

 
 


0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments