[VIDEO]..MC PILIPILI ALITISHA KWA KUMCHEKESHA BI HARUSI MPAKA AKAA CHINI

By
Advertisement
Mchekeshaji maarufu MC PILIPILI aliwaacha hoi wageni waalikwa kaatika sherehe moja hapa tanzania lakini kali na kubwa zaidi ni baada ya pale mc pilipili kumuacha hoi bi harusi mpka kushindwaa kuvumilia na kuamua kukaa chini kwa kuangua kicheko ..
 
Ni  moja ya sehemu kubwa ya shuhuri hiiyo ambapo pale mc pilipili alikuwa anataka kujua historia  fupi ya wanandoa hao jinsi walivyokutana.


0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments