[VIDEO]..MMHM MATUKIO HAYA YANATISHA NA KUSHANGAZA KATIKA USAILI WA WATU WENYE VIPAJI DUNIANI

By
Advertisement
Usaili maarufu ambao mara nyingi hufanyika kwa kila taifa ambapo huwa wanatafuta vipaji kwa wale wenye vipaji  maarumu ili kuweza kuwasaidia kujulikana na kukuza kipato chao hapo baadae baada ya kujulikana na taifa au dunia..Kimsingi haishauliwi kwa michezo hatari kama hii kujalibiwa kwa wale ambao hawana uwezo huo hivyo uangaliapo michezo hii haishauliwi kuiga au kuwafanya watoto waone itakayopelekea kujalibu pale wanapokuwa nyumbani..
 SOCIAL HALL

Zifuatazo ni baadhi ya video hatari kwa kuangalia iliyowahi kufanywa na baadhi ya watu wenye vipaji vyao nchini  marekani uingereza ...Ni imani yangu sasa ni wakati wetu sasa kuanza kuwa na vitu kama hivi nchini mwetu ili watu wenye vipaji vyao vya kuimba kucheza maigizo n.k ili kuweza kujulikana na  taifa na duniani kwa ujumla...



1.



2.



3.


4.


5.

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments