VIDEO MPYAA KUTOKA KWAKE DAVIDO UNAOMBWA KUITUPIA JICHO SASA GBAGBE OSHI

By
Advertisement


Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.
Alitambulika kwa nyimbo zake kama 
-SKELEWU
-AYE
-DAMI DURO
-OWO NI KOKO

-MONEY n.k



Leo amekuja hii nyingine mpya ya kwake iitwayo GBAGBE OSHI itazame hapa chini sasa

0 comments:

Mr.Kikoti. Powered by Blogger.

Comments