Mwaka huu ndio mwaka ambao wasanii wetu wengi wameshuka na nyimbo nnyingi kali na nzuri wakiambatanisha na video zao kali na nzuri sana cha kiwango cha juu,.
SOCIAL HALL inawaletea video mpyaa na kali zilizotolewa na wasanii wakongwe na wapya hivi kalibuni ukiachilia mbali video ambazo social hall tayar imeshaziweka,
Unaweza kujionea video hizo kwa uzuri zaidi hapo chini sasa
ABBY SKILLZ FT ALIKIBA
QBOY FT RAYVANNY
TEKNOMILES
SNURA
0 comments:
Post a Comment