*ORODHA KAMILI YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA SIMBA SC MPAKA SASA*
A.WACHEZAJI WA NDANI
1. *JAMAL MWAMBELEKO*
Beki wa kushoto kutoka Mbao fc ya Mwanza, alisaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa miaka miwili, mkataba wake alisaini 05 June 2017 ataitumikia Simba Sc hadi 05 June 2019.
2. *YUSUPH MPILIPILI*
Beki namba mbili, aliingia mkataba na Simba Sc tarehe 08 June 2017. Mkataba wake utafikia tamati 08 June 2019.
3. *SHOMARI KAPOMBE* Beki namba mbili amesajiliwa na Simba Sc akitokea Azam fc. Ameingia mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia 12 June 2017 hadi 12 June 2019.
4. *JOHN BOCCO*
Mshambuliaji hatari aliyekuwa tegemeo kunako klabu ya Azam fc, aliichezea timu hiyo kwa takribani miaka 9 hivi. Ameingia mkataba wa miaka miwili na Simba Sc 13 June 2017 hadi 13 June 2019.
5. *EMANUEL ELIAS MSEJA*
Huyu ni golikipa aliyeichezea timu ya Mbao fc mechi kadhaa hasa raundi ya kwanza katika mechi za VPL msimu wa 2016/2017. Amepewa mkataba wa miaka miwili na klabu ya Simba Sc 14 June 2017 hadi 14 June 2019.
6. *ALLY SHOMARI*
Beki kutoka Mtibwa Sugar anayemudu kucheza namba nyingi akiwa dimbani. Amekula mkataba wa miaka miwili, 15 June 2017 hadi 15 June 2019.
7. *SALIM MBONDE*
Beki mkongwe akitokea Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, amesaini mkataba wa miaka miwili, 09 July 2017 hadi July 2019.
*KUMBUKA* Mikataba waliyosaini ni ya awali na kama ni mkataba official basi kilichopo kule ndani(makubaliano) ni kati ya timu na mchezaji ndio siri yao.
*ZOEZI LA USAJILI BADO LINAENDELEA*
B. WACHEZAJI WA KIGENI WALOSAJILIWA MPAKA SASA.
1. *EMANUEL OKWI*
Kiungo mshambuliaji kutoka klabu ya Sport Club Villa ya Uganda, alisaini mkataba na Simba 25 June 2017.
*WACHEZAJI WALIOITUMIA SIMBA MSIMU ULIOPITA WALIOONGEZEWA MIKATABA MIPYA*
1. *MKUDE*
Miaka miwili.
2. *JAMES KOTEI*
Miaka miwili
*ORODHA YA WACHEZAJI WENYE UHAKIKA WA KUITUMIA SIMBA SC MSIMU UJAO*
1. Emanuel Mseja
2. Kapombe
3. Zimbwe Jr
4. Salim Mbonde
5. Kotei
6. Mkude
7. Kichuya
8. Mzamiru
9. Bocco
10. Mavugo
11. Okwi
12. Ndemla
13. Moses Kitandu
14. Mo
15. Ally Shomari
16. Yusuph Mpilipili
17. Mwambeleko
*USAJILI BADO UNAENDELEA*
_WAFUATAO WANATARAJIWA KUSAINI SIMBA SC_
1. Manula
2. Niyonzima
*WAFUATAO HAWATAITUMIKIA SIMBA MSIMU UJAO*
1. Ajibu-kasajiliwa Yanga.
2. Pastory Athanas-kasajiliwa Singida Utd.
*WAFUATAO WANAWEZA KUACHWA KUITUMIKIA SIMBA SC*
1. Denis Richard
2. Mnyate
3. Blagnon
4. Kazimoto
5. Agyey
6. Lufunga
7. Hamad Juma
8. Manyika Jr
9. Bukungu
10. Mwanjali
11. Haji Ugando
12. Costa
*Juuko* Bado haijaeleweka kama atabaki Simba Sc au ataenda kucheza soka la kulipwa nchini Serbia.
*MUHIMU* _Usajili bado unaendelea na mchezaji yeyote a aweza kuongezwa awe wa nje au ndani ya nchi. Timu ipo kwenye mazoezi Afrika Kusini, kocha akiona kuna mchezaji anajitahidi na kujituma kwenye mazoezj anaweza kumbakisha kikosini_
*WACHEZAJI WA MSIMU UJAO WATATAMBULISHWA RASMI 08 AGUST 2017 KATIKA TAMASHA LA SIMBA DAY*
cc #CLAUD
0 comments:
Post a Comment