Shule za sekondari za vipaji maalum Tanzania zashika nafasi mbaya katika matokeo haya ya kidato cha nne mwaka 2015 .Ambapo shule hizi ndizo zilizozoeleka kwa kuongoza katika matokeo ya kidayo cha nne na sita ..
Na hivy nafasi hizo za mwanzo kushikwa na shule binafsi na ngeni kwa kusikika kuwa nazo zipo katika kundi la ahule bora zinazoweza shika nafasi kubwa katika matokeo ya kidato cha nne
SOCIAL HALL inakuleyea baadhi ya nafasi zilizoshika shule hizo kubwa na mara nyingi hutambulika kama za vipaji maalum...
HIZI NDIO NAFASI ZILIZOSHIKA SHULE HIZOKUBWA TANZANIA
Ilboru- 53
Kibaha- 69
Mzumbe-71
Tabora boys-124
Kilakala-94
Tabora girls-123
Msalato-148
Pia tunatoa hongera kwa wale walioongeza juhudi katika kufundisha na hatimaye kuiwezesha shule yao kushika nafasi nzuri katika matokeo haya ya kidato cha nne.

0 comments:
Post a Comment