CACHE ni sehemu ya kuhifadhi files kwa mda fulani kwenye device yako, kwa mfano kwenye browser inatumika kuhifadhi vitu kama picha za website unazotembelea localy e.g ukifungua jf kwa mara ya kwanza logo ya jf inakuwa downloaded na kuhifadhiwa kwenye cache so ukienda page nyingine ya jf browser inakuwa haina haja ya kuidownloa logo hiyo hiyo ambayo haijabadilika badala yake inaichukua katika cache, hivyo inapunguza matumizi ya data na kuifanya site ionekane fast zaidi.
Cookies ni text files ambazo website inahifadhi katika devic yako ili kuweza kukutambua baadae, kwa mfano unapologin JF na kuchagua remember me, jf inahifadhi file kwenye device yako ambayo ni unique kwako, so next time unaenda jf inaisoma hiyo file na kukulogin automatically bila ya kuwa na haja ya kuandika username/ppassword tena. Pia site zengine zinatumia cookies kukufuatilia mtandaoni kwa jili ya vitu kama matangazo so unaenda Amazon kwa mfano unaangalia viatu, then unaenda site nyingine kabisa lakini unaona kuna matangazo ya viatu kutoka Amazon, hiyo ni tracking ambayo moja ya njia za kuifanya ni cookies.
Hakuna sababu ya kudelete cache unless umeishiwa nafasi au unataka kuondoa rekodi ya site ulizotembelea, kwa mfano ukienda site ya ngono kutakuwa na picha za ngono kwenye cache yako hata kama haukuzisave mwenyewe. Otherwise ukidelete cache sana sana utapunguza spidi ya browser na kuongeza matumizi ya data Kwa sababu kila kitu kinabidi kiwe downloaded upya.
Cookies kuna umuhimu zaidi wa kuzifuta kwa kuwa ni tatizo kwa privacy yako kufuatiliwa na websites

0 comments:
Post a Comment