Kwa Tanzania ifikapo 17/07/2016 simu zote bandia zitazimwa.
TCRA
Njia rahisi kujua kama simu yako ni orijino piga *#06# kupata IMEI namba, kisha tuma IMEI kwenda namba 15090 ni BURE kwa Tanzania hii ni kutoka TCRA.
NJIA RAHISI ZAIDI
Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonesha namba ya pekee (serial
number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) namba ambayo ni lazima ziwe namba 15 au zaidi, na nilazima ianze na namba 35.
1. Sasa angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu sehemu ambayo betri inakaa (battery base). Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni origino.
2. Simu yaweza kuwa origino lakini katika viwango vya ubora(qualities ) tofauti . Sasa tunaanza kuchambua IMEI ili kujua ubora. Katika namba hizo namba ya saba(7) na ya name(8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 00 inamaana kuwa simu yako imetengenizwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 01 au 10 inamaana sumu yako imetengeneza Finland na ina ubora wa juu pia.
• Kama namba ya saba na y a nane ni 13 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Azerbaijan na ni hatari sana kwa matumizi na afya yako.
• kama namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates hivyo ina kiwango cha chini sana.
• Kama namba ya saba nay a nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 ina maana simu yako imetengenezwa China lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00 , 01 au 10.
• Kama namba ya saba nay a nane ni 05 au 50 inamaana simu yako imatengenezwa labda Brazil ama USA ama Finland.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 06 au 60 simu yako imetengenezwa Hong Hong, China au Mexico.
• Kama namba ya saba na ya nane ni 08 au 80 simu yako imetengenezwa Germany na ina ubora wa kawaida.

0 comments:
Post a Comment